MFAHAMU "CHE GUEVARA"

 "CHE GUEVARA"

Jina lake halisi ni Ernesto Rafael Guevara de la Serna. "CHE" ni jina la utani tu
 Alizaliwa tarehe 14/6/1928 nchini Argentina kwenye familia yenye maadili na ucha Mungu
 Alifuata sera za ki-socialist alikuwa muumini mzuri wa Karl Max chini ya raisi wa Guantamala Jacob Guzman kama mwalimu wake, huku akizidi kuongeza uadui na USA!
Ni daktari (tabibu) ambae alipata elimu yake ktk nchi mbalimbali ikiwemo USA ambapo ndipo alipoanza kugundua madhara ya mfumo wa kibepari na unyanyasaji!
Mwaka 1959 alikutana na Fidel Castro na Raul Castro na kuunda jeshi dogo lenye nguvu na morali pamoja na baadhi ya wanajeshi waliomuunga mkona Castro. Walifanikiwa kumpindua raisi wa wakati huo Batista kisha Castro akawa raisi wa Cuba!
Aliteuliwa na Castro kuwa Waziri wa viwanda. Pia alishika nyazifa mbalimbali nchini Cuba kama vile Mkuu wa Jeshi na Gavana wa Benk ya Cuba!



Comments